Tunatoa offer ya usafiri kwa wateja waliopo ndani ya Mji, wa Mikoani tunachangia gharama ya usafiri, offer hii ni kwa wateja wanaochukua kwanzia bati 100 au Mita 300.
Tunauza Mabati bora ya kisasa yasiyopauka toka Kampuni za ALAF, SUN SHARE, na AFRINA kwa Bei ya punguzo toka Kiwandani.
*Tuna Mabati ya Msouth IT 4 na IT 5 kwanzia 9,500/= hadi 17,100/= kwa mita 1
*Tuna Mabati ya Vigae(versatile) na Romantile kwanzia 17,220/= hadi 19,700/= kwa mita 1 kutokana na aina ya material yake.
*Tuna Mabati ya kawaida migongo midogo ya rangi na meupe kwanzia 20,000/= hadi 29,000/= kwa bati moja la mita 3
Tunayo Misumari ya Bati ya rangi, Kofia na Valley.
Tunapatika Buguruni Chama
Learn about new items, custom picked just for you.