16. Nov '21, 19:11
Ad ID 3631223
TSh 1

UVIMBE KWENYE KIZAZI, DALILI ZAKE NA MATIBABU YAKE MEPESI BILA UPASUAJI.

Ilala, Ilala Dar Es Salaam
Seller offers delivery

Free

Details
Price negotiable
Yes
Condition
New
Description

FIBROID NI NINI?

Siku hizi kuna ongezeko kubwa sana la huu ugonjwa hebu tega sikio.
Fibroid ni uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la kizazi ambao huu uvimbe unaweza kuwa ndani ya kizazi(ukutani mwa kizazi) au ndani ya nyama ya kizazi na nje kwenye ukuta wa kizazi.

AINA KUU ZA FIBROIDS.( UVIMBE)

1⃣Submucosal fibroids (ndani ya kizazi)

2⃣Intramural fibroid(ndani ya nyama za kizazi)

3⃣Subserosal(nje ya kizazi)

Watu wafuatao wako hatarini ya kupata ugonjwa huu fibroids⤵

▶Mwanamke ambae hajawahi kupata mtoto mpaka umri mkubwa
▶miaka kuanzia kubarehe mpaka hedhi kukoma
▶kurithi
▶Unene
▶kuingia hedhi mapema

Fibroids sio kansa ni uvimbe wa kawaida tu ambao unakua kwa kutegemea kichocheo cha oestrogen homoni ya kike ndio maana kuanzia kubarehe mpaka kukoma kwa hedhi ndio wako hatarini. Na mara nyingi uvimbe huu huwaga unaongezeka kukua sana hasa wakati wa ujauzito kwani vichocheo hivi huongezeka wakati huu kulinda makazi ya mtoto.
Ni watu waliofikia kikomo cha hedhi hawapati fibroids au kitaalam leomyoma.

*DALILIZA MTU MWENYE FIBROID *

▶Kutokwa damu kwenye via vya uzazi katikati ya mwezi.
▶kutokwa na uchafu wenye harufu mbaya au ambao hauna harufu lakini mwingi na mweupe.
▶maumivi ya kiuno hasa wakati wa hedhi ambayo husababishwa na kizazi kujaribu kusukuma huo uvimbe..wengi hupata maumivu makali sana.
▶Tumbo kuuma sana chini ya kitovu.
▶hedhi zisizokuwa na mpango
▶maumivu wakati wa tendo la ndoa
▶Kukosa hamu ya tendo la ndoa
▶maumivu makali wakati wa hedhi

Uvimbe unapokua mkubwa unaweza kusababisha dalili zifuatazo.⤵

▶Kukojoa mara kwa mara kwani uvimbe unakandamiza kibofu cha mkojo
▶Mkojo kubaki kwenye kibofu cha mkojo
▶Haja kuwa ngumu
▶miguu kuvimba
▶kupungukiwa damu

Jinsi uvimbe( fibroids )zinavyoweza kuzuia kupata mtoto:

▶Fibriods zikikua sana zinakandamiza mishipa ya kupitisha mayai kutoka kwenye kiwanda cha mayai yaani ovari
▶Uvimbe pia unazuia yai lililorutubishwa kujishikiza kwenye kizazi..hasa submucosal fibroids
▶Pia huzuia mfuko wa kizazi kukaza kusukuma mbegu kwenda kwenye mishipa ya kupitisha mayai.
?UVIMBE NI CHANZO CHA KUSHINDWA KUPEVUSHA MAYAI KWA WAKATI NA TATIZO LA KUCHELEWA KUSHIKA MIMBA KWA MAMA.

Mwanamke kutopevusha mayai kitaalamu huitwa Ovulatory Dysfunction.

➡️Ni hali ambayo si ya kawaida inayoweza kumtokea
➡️Mwanamke mwenye tatizo hili anaweza kupata upevushaji isivyo
kawaida. Mfano mwezi mmoja au miwili mwanamke asipate, akaja kupata mwezi unaofuata au akawa anarukaruka miezi.

Wakati mwingine anakaa mwezi mzima bila kupata. Mwanamke huyu pia hata mzunguko wake wa hedhi siyo wa kawaida, unavurugikavurugika na miezi mingine hapati au anaweza kufunga hedhi hata miezi miwili au zaidi pasipo kuwa na ujauzito. Katika hali ya kawaida ya mwanamke anapata ute wa uzazi ndiyo unaoashiria

Ovulation.

➡️Ute huu hutokea vipindi vya katikati ya mzunguko. Ute wa uzazi upo wa aina tatu, kwanza ni ute mwepesi, halafu ute wa kuvutika na mwisho ni ute mzito. Ute wa uzazi ndiyo unaoashiria yai limetoka na linasubiri kurutubishwa. Utokaji wa ute huu wingi wake

unatofautiana kati ya mwanamke na mwanamke, wengine hupata mwingi na wengine kidogo kiasi kwamba hauonekani.

➡️Chanzo kikuu cha tatizo hili inaweza kuwa ni uwepo wa vivimbe katika vifuko vya mayai au

Polycystic ovarian syndrome,

matatizo katika mfumo wa homoni uitwao
Hyperprolactinemia
, matatizo katika mfumo wa kichwa yaitwayo

Hypothalamic Dysfunction

ambapo
mwanamke pia hupata tatizo la kupoteza siku zake za hedhi pasipo
kuwa mjamzito na tatizo la kupoteza kabisa uwezo wa upevushaji.

➡️Wanawake wenye tatizo la kutopata Ovulation au upevushaji wa
naweza kupata damu ya hedhi kama kawaida kila mwezi au Wengine wasipate kabisa.

?HOMONI KUVURUGIKA NA DALILI ZAKE.
MVURUGIKO WA HORMONI (HORMON IMBALANCE ) ...

Baadhi ya dalili za tatizo hili Ni

✍? mvurugiko wa hedhi

✍?kukosa hamu ya tendo la ndoa na kutokufika mshindo

✍?Kukosa Ute wa ovulation

✍? Kukosa usingizi usiku

✍?kutokupungua uzito ata Kama unafanya diet na mazoezi ..

✍?maziwa kujaa,kuuma au kutoa maziwa

✍?kuwa na hasira pasipo sababu ya msingi ..

✍?kuwa na tatizo la ukavu ukeni ....

✍? moja ya madhara makubwa ya tatizo la mvurugiko wa hormon ni kupata changamoto ya kutokupata ujauzito ....

?Katika changamoto za UZAZI zote,, ambatana nasi @afyakwetutz pona kiasili ?msaada wa Akina mama na mabinti.

@afyakwetutz
@afyakwetutz
Member Since 16. Nov '21
Verified via:
Mobile Number
Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.