14. Mar, 04:34
Ad ID 2572587

masaji safi

Kinondoni, Masaki Dar Es Salaam
Description

Madhubuti kwa watu 20 tu
Kwa bei ya ofa kwa kabla ya grand open..

Dakika 60 kwa 80,000/= Tsh tu

Tunavaa barakoa, na sanitize.

Masaji inaleta utulia.
Masaji inatoa uchofu.
Masaji inasaidia kutoa maumivu ya mwili...

Njoo na ujaribu massaji yetu.

Utakuwa fresh kabisa.

Ukiwa na swala, unipe ujumbe uniulize.

-Tunaomba mtuwie radhi, kwa sasa huduma ipo kwa siku na muda tajwa hapa chini pekee. Nipigie au nitumie email ama ujumbe kwa booking.

15/3/2021 Jumatatu.
17/3/2021 Jumatano.
19/3/2021 Ijumaa.
22/3/2021 Jumatatu.
24/3/2021 Jumatano.
26/3/2021 Ijumaa.
29/3/2021 Jumatatu.
31/3/2021 Jumatano.

Kuanzia saa 3:30 asubuhi – 9:00 mchana

-Mtaalamu (Therapist) anayetoa huduma ni wakiume.
-Matibabu yatafanywa kipindi mteja amevaa nguo, kwahiyo hatuta tumia mafuta.
-Watu wenye hali zifuatazo, wanashauriwa kutohudhuria matibabu. Wajawazito, waliojifungua chini ya mwezi mmoja, walio hospitali, walio katika matibabu, walevi, wenye magonjwa ya ngozi, wenye magonjwa ya kuambukiza.

Karibu tukuhudumie! Asante.

AMANI SEITAI
AMANI SEITAI
Member Since 25. Feb
Verified via:
Email Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.