Thursday, 19:15
Ad ID 3481981
TSh 12

UGONJWA WA KISUKARI-Aina, chanzo, dalili na tiba.Dawa ya asili ya matibabu ya kisukari

Morogoro Mjini Morogoro
Seller offers delivery

Kwa walio morogoro mjini

Details
Price negotiable
Yes
Condition
New
Description

UGONJWA WA KISUKARI, CHANZO,  DALILI, MADHARA NA TIBA YAKE.

DAWA YA ASILI YA MATIBABU YA KISUKARI.

Kisukari ni nini, nini maana ya kisukari???dawa ya kisukari,dalili za ugonjwa wa kisukari.

KISUKARI (diabetes mellitus ) ni ugonjwa wa uwepo wa kiasi kingi cha sukari katika damu. Sababu yake kubwa ni uhaba wa homoni ya insulini mwilini au upungufu wa uwezo wa mwili kuzalisha homoni ya insulini ambayo husaidia kurekebisha kiwango cha sukari mwilini.

Kipi kinatokea mpaka mtu kupata ugonjwa wa sukari au kuongezeka kwa kiwango cha sukari mwilini???

Ugonjwa wa sukari hutokea baada ya ulaji wa wingi wa vyakula vyenye sukari (wanga),mafuta au kuishi kwenye mazingira yanayokuweka hatarini kupata tatizo la kisukari(Exposure to risk factors).

    Mfano wa vyakula vitoavyo sukari mwilini ni kama:- Ugali, wali, viazi, ndizi, mkate, chapati, soda, n.k

Ulaji wa wingi wa vyakula vyenye sukari au vitoavyo sukati kwa wingi pamoja na kutofuata taratibu za kitabibu kama kula kiasi kingi cha chakula baada ya saa kumi na moja jioni, ulaji wa chakula kingi katika mlo mmoja na utumiaji wa vyakula vyenye mafuta mengi hupelekea mtu kupata tatizo hili(Type 2 diabetes).

Wakati mwingine tunaweza kupata tatizo la kisukari kutokana na kurithi, historia ya sukari kwenye familia au kuzaliwa na upungufu wa uzalishaji wa kiwango cha insulini mwilini (Type 1 diabetes).

Sababu zingine zinazopelekea kupata tatizo hili ni Umri mkubwa, kuwa na uzito mkubwa, presha ya kupanda,historia ya sukari wakati wa ujauzito na magonjwa yanayoweza kupelekea kuharibika kwa ufanisi kazi wa insulini mwilini kiasi cha kushindwa kurekebisha kiwango cha sukari mwilini n.k

Sababu zote kwa pamoja hupelekea watu kupata kisukari, mgonjwa wako anapopata tatizo hili hakikisha unachukua hatua za haraka kukabiliana na changamoto hii.

Ugonjwa huu unakadiriwa kuua karibu watu million 1.5 kila mwaka duniani kote (WHO, 2019).

⏹️DALILI ZA UGONJWA WA KISUKARI.

?Kushikwa na kiu cha mara kwa mara/kupatwa na kiu kikali.

 

?  Kukojoa mara kwa mara.

 

?   Kutokwa jasho jingi bila hata kufanya shughuli yeyote.

 

?  Uchovu usiokwisha pamoja na kupungua uzito licha ya kula vizuri.

  

? Kupatwa na njaa ya mara kwa mara/njaa kali.

 

?   Mkojo kuwa na ladha ya sukari.

  

?Kizunguzungu.

 

?   Macho kupunguza uwezo wa kuona.

  

?  Kuwa na kidonda kisichopona haraka.

 

?   Upungufu wa nguvu za kiume (mwanaume).

Tuelewe vipimo vya sukari.

Ikiwa vipimo vyako vya sukari vinaonyesha una sukari ina range kutoka 4-5.4mmol/L(72-99mg/dl) tafsiri yake hauna ugonjwa wa kisukari(Normal blood sugar) ikiwa umepima masaa 12 kabla ya kula.

Masaa mawili baada ya kula, tunategemea sukari yako isiwe juu ya 7.8mmol/L(140mg/dl).

Ukiwa na 7.8-11mmol/L, tafsiri yako uko hatarini kupata ugonjwa wa kisukari.

Ukipata zaidi ya 11mmol/L tafsiri yake una ugonjwa wa kisukari.

⏹ MATHARA YA UGONJWA WA KISUKARI.

Endapo ugonjwa wa kisukari utapuuzwa au kutotibiwa inavyostahili yako madhara mengi yanaweza kujitokeza, moja ya madhara hayo ni pamoja na;

?Magonjwa ya moyo.

?Kiharusi.

? kupungua kwa nguvu za kiume(uume kutokusimama).

? Figo kushindwa kufanya kazi

?Kupata upofu.

Epuka ugonjwa huu kwa  kupunguza unene uliozidi, fuata taratibu za kitabibu katika kula na kunywa, epuka matumizi ya pombe, punguza msongo wa mawazo na uvutaji wa sigara.

Kunywa maji ya kutosha, fanya mazoezi na kula kiasi kingi cha mboga mboga na matunda, utaratibu huu utakusaidia kuimarisha afya yako na kupunguza hatari ya uongezekaji wa kiwango kingi cha sukari mwilini.

⏺️Kumbuka.

Mgonjwa wako anapaswa kupatiwa  matibabu sahihi, huduma nzuri ya kufuatiliwa kimatibabu na elimu sahihi ya matumizi ya chakula kutokana na hali yake.

⏹️MATIBABU SAHIHI.

Ipo mimea tiba yenye uwezo mkubwa wa kumtibia mgonjwa wako na akapona kabisa, kumbuka tiba sio dawa pekee.Sambamba na matumizi ya dawa hii tutakupatia muongozo pamoja na usimamisi wa kitabibu utakaosaidia kutibu na kumaliza kabisa tatizo hili.

Kuna package mbili za matibabu ya kisukari yote ni kwa ajili yako kutegemea unasumbuliwa hasaa na aina ipi ya kisukari na ukubwa wa tatizo lako.

Dawa hizi hutibu na kutoa matokeo ya haraka sana(huchukua kadirio la siku 10 hadi 14  kumaliza tatizo) kutibu  na kumaliza tatizo la kisukari kabisa la kisukari.

Huamini kisukari kinatibika????Contacts us kwa elimu na ufafanuzi zaidi.

Muhimu baada ya matumizi ya dawa ni kufanya vipimo tena na kutupatia mrejesho na kujiridhisha.

 

Kwa uwezo wake Allah hakuna linaloshindikana.Tuamini

Kwa ushauri, maoni na msaada ya kimatibabu wasiliana nami.Gusa moja ya njia ya mawasiliano.

Location: Morogoro mjini.

The Cotex Medicine
The Cotex Medicine
Member Since 14. Feb
Verified via:
Facebook Mobile Number
Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.