NYUMBA INAPANGISHWA(KUBWA+NDOGO)
MAHALI-#IPAGALA-DAR ES SALAAM ROAD
SIFA ZA NYUMBA(NYUMBA KUBWA)
vyumba 4 vya kulala,kati ya hivyo viwili(02) ni masters
#sebule nzuri
#Jiko zuri lenye makabati
#Dining
#stoo
#public toilet
NYUMBA NDOGO
#vyumba 02 vya kulala vyote masta
#sebule nzuri
#Jiko zuri na kubwa lenye makabati
HUDUMA
#maji 24/7
#umeme 24/7
#parking space ipo kubwa
#iko ndani ya fensi
#water reserve tanks (10,000litres)zipo 3
#heaters zipo jikoni kati nyumba zote mbili
#heaters kwaajili ya maji moto bafuni+vyooni kote
#Kuna public toilet+bathroom nje ya nyumba
#Garden nzuri(landscaping)
#Sehemu ya kuoshea vyombo+kufulia nje ya nyumba zimejengewa
MATUMIZI
-inafaa kwa makazi
-pia inafaa kwa ofisi sababu ya ukubwa wake na ujirani toka barabara ya lami
BEI-1,000,000/= #mwezi(kwa nyumba zote mbili)
MUDA WA MALIPO-Miezi 6+kodi ya mwezi mmoja ya dalali
GHARAMA ZA KWENDA SITE-10,000/=
Learn about new items, custom picked just for you.