15. Apr, 11:52
Ad ID 2678334
TSh 1,200,000

TUNAUZA VIWANJA SHERATON ECO VILLAGE VIKINDU VIANZI

Other District Other Location USAFIRI ni uhakika, unapanda gari moja TU , tokea Kariakoo, Kivukoni, Temeke, Tandika, Kigamboni, Mbagala, Buza n.k
Details
Price negotiable
No
Reference
Sheraton Eco Village Vianzi Vikindu
Price per square unit
No
Square units
200.0 ft²
Description

TUNAUZA NA KUKOPESHA VIWANJA BILA RIBA WALA DHAMANA KWA MILION 1.2. VIWANJA VIPO VIKINDU. SHELATON ECO VILLAGE.... WHATSAP

NI VIWANJA VYA MAKAZI NA BIASHARA. NI KILOMITA 2 KUTOKA BARABARA KUU YA LAMI (Kilwa road)

SIFA ZA VIWANJA VYETU:

✅ Maji Safi na salama yapo kwenye viwanja, Umeme upo, Shule za serikali na private zipo jirani kabisa na mradi, Soko, kituo cha afya, Eneo la michezo limetengwa n.k

✅Eneo limezungukwa na nyumba, usafiri wa Bajaji ulishafika nauli 500 tu unaingia kwako.
Njia ya kuelekea kwenye mradi wetu ni nzuri inayojengwa kiwango cha lami.

✅Viwanja VIMEPIMWA, barabara za mitaa zimesha chongwa. Ukubwa ni Futi 50 X 40 Miilion 1.2. Futi 50 X 80 (Sqm 400) Milion 2.4 Futi 100 X 80 (Sqm 800) Milion 4.8.

Tunapokea malipo taslimu au kidogo kidogo bila riba wala dhamana ndani ya miezi 3 baada ya kutanguliza 50% ya malipo ya awali. KUMBUKA UTAPELEKWA NA KURUDISHWA BUREEE NA KUNUNUA HADI URIDHIKE MWENYEWE.

USAFIRI ni uhakika, unapanda gari moja TU , tokea Kariakoo, Kivukoni, Temeke, Tandika, Kigamboni, Mbagala, Buza n.k
whatsapp?
#miliki_nyumba_au_kiwanja #2021

FOLLOW ME INSTAGRAM

PIGA AU WHATSAP??and WhatsApp
✅@https://wa.me/message/H4ZQCDFVMH3KK1

Kwa mahitaji ya Nyumba za Kununua au Kiwanja Mfollow
✅@uzanunuanyumbauwaja
✅@https://wa.me/c/686584004
✅@https://www.facebook.com/pg/dalalimbarale/about/
KARIBUNI SANA
✅✅
QR CODE YA WHATSAP DIRECT NI HII HAPA

MAHITAJI VIWANJA
MAHITAJI NYUMBA
MAHITAJI MASHAMBA
MAHITAJI USHAURI WA UJENZI
https://wa.me/message/H4ZQCDFVMH3KK1

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Juma Mbarale
Juma Mbarale
Member Since 10. Jun '19
Verified via:
Email Facebook Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.