16. Dec '20, 10:13
Ad ID: 2359132
TSh 1,700

Tunauza Vifaranga wa Broiler kuku wa nyama

Kinondoni, Wazo Dar Es Salaam
Seller offers delivery

Bodaboda

Details
Price negotiable
No
Description

TUNAUZA VIFARANGA WA BROILER / KUKU WA NYAMA °I° WE ARE SELLING BROILER DAY OLD CHICKS - Dar es salaam, Tegeta.

Bei ya kifaranga ni 1,600Tsh

Ofa ofa unalipa leo na kuchukua kesho alhamis tar 17/12/2020, vifaranga vimepata chanjo zote muhimu za umri wa siku moja.

@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani

#broiler #kukuwanyama #kukuwakisasa #vifarangabora #kukuwakisasa #nyamayakuku #vifarangabora #vifarangavyakuku #vifarangavyakuchi #vifarangavyabroiler #vifarangavyakukuwanyama #vifarangavinauzwa #kukuwanauzwa #broilerwakubwa

Kuku hawa unafuga ndani ya week 4 hadi 5, kwa kipindi hicho cha week wanafikisha kilo 1.5 nakuendelea.

Ufugaji wa broiler unafaida ya haraka maana kuku unawauza kila baada ya week 4.

@mifugo_tz inasambaza vifaranga vya broiler katika maeneo(mikoa) ya:

  1. Dar es salaam
  2. Morogoro
  3. Kilimanjaro (moshi)
  4. Same
  5. Arusha
  6. Chalinze nk

Kwa wateja wa mikoni vifaranga mnatumiwa, njia ya Moshi, Arusha, morogoro, Tanga usafiri juu yetu, karibuni sana tuwahudumie.

Office zetu zipo Tegeta, @Wazohill-Barabara ya kwenda kiwanda cha @twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa

YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac

Website link: https://joackcompany.business.site/

Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9

#mifugo #mifugot

JOACK
Member Since 14. Jan '20
Verified via:
Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.