11. Jan, 17:22
Ad ID: 2410295

TUNAUZA GARI ZILIZOTUMIKA AMBAZO ZIMEPIMWA NA KUKAGULIWA.

Kinondoni, Magomeni Dar Es Salaam
Description

Ikiwa unahitaji kununua gari yoyote ambayo imetumika haijalishi imetumika nje au ndani ya Tanzania basi tuwasiliane.

Tunachokifanya ni kukupunguzia muda ambao ungeupoteza kwenye kwenda kuangalia gari 10 halafu usiipende hata moja. Kwa maana hiyo ukituambia unahitaji gari tutakachokifanya ni kwenda kukagua na kupima ili nitakapokuambia nimepata toyota IST tano, ukija kuziangalia ubaki unajishauri kwamba uchukue ipi uache ipi.

Tunafocus zaidi katika kuangalia Ubora wa gari kuliko kuangalia vitu kama kilometa za Odometer ambazo wengi wamekuwa wakizishusha wanapotaka kuuza magari yao.

Pia kama una gari unauza tunaweza kuwasiliana. Kikubwa tu uwe ni mmiliki halali wa gari hilo. Hili naomba lizingatiwe.

AUTOMATIC GEARBOX AND ENGINE REPAIRS
Member Since 7. Jun '20
Verified via:
Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.