12. Nov '21, 11:34
Ad ID 3615084
TSh 160,000

TIBA YA PID (PELVIC IMFLAMATORY DISEASE)

Kinondoni, Makumbusho Dar Es Salaam
Details
Price negotiable
Yes
Description

UGONJWA WA PID NI NINI??
-ni ugonjwa wa maambukizi unaotokea katika via vya uzazi wa mwanamke ambapo huhusisha maambukizi katika shingo ya kizazi (CERVICITIS),nyama katika mfuko wa uzazi (ENDOMETRITIS) na mirija ya uzazi (SALPINGITIS)

DALILI/VIASHIRIA VYA UGONJWA WA PID

Kuna dalili mbalimbali zinazoweza kuashiria ugonjwa huu wa PID miongoni mwa dalili hizo ni,

-Mwanamke kupata maumivu ya tumbo hasa maeneo ya chini ya kitovu
-Kupata maumivu wakati wa kukojoa
-Kupata homa na kuhisi kichefuchefu
-Kupata maumivu ya mgongo na kutapika
-Kutokwa na hedhi bila mpangilio
-kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa
-Kutokwa na uchafu(utoko)mweupe ukeni unaotoa harufu mbaya

Note:
Uonapo dalili za ugonjwa huu wahi kupata matibabu kwani ugonjwa huu ni mkubwa huweza kusababisha ugumba ikiwa hautapata tiba vizuri na unaweza kukupelekea kupata cancer ya shingo ya kizazi.

Beatrice Komba
Member Since 12. Nov '21
Verified via:
Mobile Number
Contact Seller
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.