30. Jan, 15:20
Ad ID: 2462132
TSh 76,000

Tiba Ya Bawasiri

Kinondoni, Mwananyamala Dar Es Salaam
Seller offers delivery

5,000/=

Details
Price negotiable
No
Description

SOMA KUHUSU TIBA YA BAWASIRI BILA UPASUAJI.
Follow us on Instagram @bawasiritz
BAWASIRI HEMORRHOID - Ni nyama inayojitokeza sehemu ya haja kubwa ambayo husababisha mtu kutokwa damu na maumivu makali hasa wakati wa kujisaidia haja kubwa.
Aidha sababu kuu ya Bawasiri huwa ni; Ni pressure kubwa ya kwenye mishipa ya damu hivyo hujirundika kama nyama na kutokeza nje sehemu ya haja kubwa. Na wakati mwingine hiyo nyama huwa ndani ya tundu la haja kubwa na wakati mwingine huweza kutokelezea kwa nje.
KINACHOPELEKEA PRESHA HIYO YA MISHIPA YA DAMU

 1. Gesi tumboni ambayo hupelekea kupata choo kigumu. Hali hii husababishwa na madonda ya tumbo au ulaji mbovu wa chakula.
 2. Magonjwa ya Moyo na ini.
 3. Uzito mkubwa kupindukia.
 4. Ujauzito kwa wanawake.
  `
  WATU WALIO HATARINI KUPATA BAWASIRI.

•Wajawazito - Mama mjamzito asipofanya mazoezi ya kutosha au kusimama muda mrefu anasababisha presha kubwa kwenye mishipa ya damu.
•Watu ambao hawapangilii mlo hawazingatii mlo kamili, hupelekea kupata choo kigumu au kutopata choo kabisa.
•Watu wanaofanya mapenzi ya jinsia moja au mapenzi kinyume na maumbile
•Watu wanaofanya sana mazoezi hasa wacheza mpira.
•Uzito kupita kiasi (kitambi).
•Kunyanyua vitu vizito.

Mara nyingi ufumbuzi wa bawasiri umekuwa ni wa kufanyiwa upasuaji na kuondoa kinyama kilichoota njia ya haja kubwa. Lakini kadhalika upo ufumbuzi mzuri ambao unaponya bawasiri pasipo kufanyiwa upasuaji.
MATIBABU YA BAWASIRI BILA UPASUAJI.
NOVEL DIPILE na CONSTIRELAX - Ni chakula dawa au food supplement zinazoponya Bawasiri bila kufanyiwa upasuaji. Zimetengezwa kwa Matunda yenye jamii ya miti ya maua iliyoweka kama kichaka (shrubs). Miti hiyo ni kama machungwa, chenza, limao, zabibu na miti ya jamii hiyo.na iliyothibitishwa na TFDA, halal na mamlaka nyingi kimataifa.
`
FAIDA YA TIBA HII.

 • Husaidia kuondoa presha ya mishipa ya damu inayojirundika kama nyama kwenye tundu la haja kubwa.
 • Huondoa maumivu ya bawasiri kabisa bila upasuaji.
 • Huponya kabisa bawasiri bila upasuaji.
 • Hulainisha choo.
Ngwesela
Member Since 20. May '17
Verified via:
Email Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.