Tuesday, 13:45
Ad ID: 2347164

TATIZO LA MIGUU KUWAKA MOTO LINASABABISHWA NA NINI

Tabora Mjini Tabora
Description

TATIZO LA MIKONO / MIGUU KUFA GANZI / KUWAKA MOTO....✍?✍? ✍?

KATIKA mwili wa binadamu, kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuhisi maumivu, kuhisi kufa ganzi kwa viungo vya mwili yaani miguu na mikono. Tatizo hili kitaalamu huitwa Peripheral Neuropathy.
Matatizo haya ya kiafya ya miguu/mikono kuhisi ganzi, baridi au maumivu husababishwa na kuumia au kudhoofika kwa neva za pembezoni mwa mwili (miguuni au mikononi) hivyo kupotea kwa uwezo wa kufanya kazi wa neva katika sehemu

Tuba Na Ushauri.
Kuondoa ganzi katika mwili na miguu utahitaji matibabu ambayo yatatolewa na mtaalam baada ya kujua chanzo cha hali hiyo kutokea kwani kama tulivyoona hapo juu,sababu za maradhi haya zipo nyingi,pia tunazo Dawa za Asili utakazotumia kumaliza tatizo lako baada ya kupata ushauri wa kidaktari
Tumia C24/7 na Choleduz ili kutibu changamoto hiyo hazina kemikali ni nzuri pia kwa kuondoa Sumu mwilini zilizosababishwa na madawa.

ELIAS MAZWAZWA
Member Since 7. Sep '20
Verified via:
Facebook Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.