Hii nyumba inavyumba 3 kimoja ni master sebule jiko choo chapablic na baikota ukubwa wa eneo skwea mt 300 ipo sinza inauzwa ml 250 maongezi kidogo yapo ipo jirani na bara bara kubwa ya lami hati miliki ipo mfuko wa shati
Learn about new items, custom picked just for you.