28. Sep '20, 08:42
Ad ID 2156520
TSh 395,000

Tecno comon 15

Ilala, Kariakoo Dar Es Salaam
Seller offers delivery

Free delivery only within Dar Es Salaam city centre and Regions.

Details
Price negotiable
No
Condition
New
Brand
Tecno
Screen Size
6.5 Inches
RAM
4 GB
Storage Capacity
64 GB
Description

Camon 15 simu hii inakuja na kioo cha inch 6.55 kilicho tengenezwa kwa teknolojia ya IPS LCD HD+ Dot-in display chenye uwezo wa resolution ya hadi pixel 720 kwa 1600. Tofauti na Camon 15 Pro, simu hii yenyewe inakuja na kamera ya mbele ambayo inakuja juu ya kiooKamera hiyo ya mbela inakuja na uwezo wa Megapixel 16 huku ikiwa na teknolojia ya AI ambayo inafanya uweze kupiga picha vizuri sana hasa wakati wa usiku. Kamera hiyo inakuja na uwezo wa kuchukua video za hadi
720p@30fpsKwa upande wa nyuma, Camon 15 inakuja na kamera nne, kamera kuu inakuja na Megapixel 48 na kamera nyingine mbili zinakuja na Megapixel 5 na Megapixel 2 huku kamera ya mwisho inawa ni QVGA . Kamera zote zinakuja na teknolojia ya Ai ambayo inawezesha kamera hizo kupiga picha vizuri sana wakati wa usiku. Sifa nyingine za Camon 15
Sifa za Tecno Camon 15
Ukubwa wa Kioo – Inch 6.55 chenye teknolojia yaIPS LCD capacitive touchscreen, chenye uwezo wa kuonyesha rangi miloni 16 pamoja na resolution ya 720 x 1600 pixels
Mfumo wa Uendeshaji – Android 10.0
Uwezo wa Processor – Octa-core (4×2.3 GHz Cortex-A53 & 4×1.8 GHz Cortex-A53)
Aina ya Processor (Chipset) – Mediatek MT6765 Helio P35 (12nm)Uwezo wa GPU – PowerVR GE8320
Ukubwa wa Ndani – GB 64 ikiwa na uwezo wa kuongezewa na memory card ya hadi GB 256
Ukubwa wa RAM – GB 4
Uwezo wa Kamera ya Mbele – Megapixel 16 iliyopo juu ya kiooUwezo wa Kamera za Nyuma – Zipo kamera nne, kamera moja inakuja na Megapixel 48, Megapixel 5, Megapixel 2 na kamera ya mwisho inakuja na QVGA kamera.
Uwezo wa Battery – Battery isiyotoka ya Li-po 5000 mAh
Rangi – Inakuja kwa rangi tatu za Shoal Gold, Fascinating Purple pamoja na Jade
Uwezo wa Mtandao – 2G, 3G na 4G
Ulinzi – Inayo Fingerprint kwa nyuma

Pport Phone Store
Pport Phone Store
Member Since 29. Nov '19
Verified via:
Email Facebook Mobile Number
Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.