4. Dec '20, 15:33
Ad ID: 1564734
TSh 150,000

Tablet za watoto

Temeke, Kurasini Dar Es Salaam
Seller offers delivery

Free

Details
Price negotiable
Yes
Condition
New
Brand
Other
Screen Size
7.5 Inches
RAM
1 GB
Storage Capacity
32 GB
Description

Tablet Special za watoto zenye kujifunza , kusomea na kuenjoy kwa Tsh. 150,000

Kwanini ugombane na Mwanao kisa kutumia Sim yako? Mpatie wanao zawad Tablet special za watoto zenye App Maalumu kwa ajili yao kwa Tsh. 150,000 tu

1.zina App za namba na hesabati

2.App za Alphabet

3.App za kuchora picha na kupaka rangi

4.App za kupiga piano

5.App za kutengeneza cake

6.Games pendwa za watoto

7.Cartoon & nyimbo za watoto na vingne kibao

Mfumo wake wa Android kama Sim za kwawida, so unaweza Kudownload Application yoyote utakayo taka kwa kutumia WiFi,

Tunafanya Delivering in Dar , popote unaletewa kuanzia elf 5tu

EvandaBusiness
Member Since 20. Feb '18
Verified via:
Email Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.