MBAO NA NGUZO ZA PLASTIKI.
Kampuni ya ECOACT Tanzania, inabadili taka na mabaki ya plastiki kuwa Mbao za kujengea. Inapenda kukufahamisha kuwa sasa tuna tengeneza na kuuza nguzo za plastiki kwa ajili ya Samani za nje (OUTDOOR FURNITURES) kama vile garden bench na meza za garden. Pia kwa Ujenzi wa Uzio wa MAKAZI, Bustani, MASHAMBA (greenhouse),CAMPS, Mbao na Nguzo hizi za plastiki HAZIOZI wala Kuliwa na Wadudu, ni IMARA, zinadumu muda mrefu zaidi, ni rafiki kwa mazingira. Was ( Nguzo za Round na za Pembe NNE) haziliwi na mchwa, haziozi na imara zaidi kuliko mbao za miti.
Learn about new items, custom picked just for you.