22. May, 10:26
Ad ID 2886493
TSh 140,000

Spy bulb camera

Kinondoni, Kijitonyama Dar Es Salaam
Seller offers delivery

No Free delivery in Dsm

Details
Price negotiable
No
Condition
New
Description

◾️Jipatie bulb spy camera ambayo inafanya kazi ya kurecord matukio. Bulb hii ni kama bulb za taa za kawaida tofauti yake ninkwamba hii ina camera ambayo inarecord matukio. Hii itasaidia pale amabapo haupo nyumbani lakini unaweza kuona matukio ukiwa hata mbali na nyumbani. Kwa wenye wadada wa kazi nyumbani mnaowaachia watoto itakusaidia katika kufuatilia malezi ya mtoto awapo na dada nyumbani pindi wewe upo kazini. _ ◾️Bulb hii inaquality ya full Hd
◾️Bulb hii inarecord matukio usiku na mchana ◾️Bulb hii inarecord mpaka sauti katika eneo inapochukua matukio.

minjasteven05@gmail.com
Member Since 24. Aug '17
Verified via:
Mobile Number
Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.