Lipo kijiji cha Kidesa, Kata ya Panzuo, Wilaya ya Mkuranga, Mkoa wa Pwani. Hekari 35 zimesafishwa. Pamepandwa miche 1000 ya miembe. Bei 60mi kwa Shamba lote. Maelewano yapo.
ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.