Shamba linauzwa lipo bagamoyo barabara ya kwenda msata ,kituo kinaitwa kempi ,kijiji kifunde,KILOMITA 2 KUTOKA BARAR YA RAMI GOOGLE MAP COORDINATES 6°27'45.8"S 38°46'18.6"E
.Ukumbwa ni ekari moja na nusu,UMEME hujaingizwa upo kama mita 50,kuna banda la nguruwe la vyumba vitatu,na kuna chumba kimoja na stoo yake pembeni,pia kuna chumba kingine kipo kado yake kimoja pia kuna shimo la choo lililochibwa na kujengewa na cementi kwa sasa hivi linatumika kama kisima cha maji.
BEI 6.5 MILLIONI
Learn about new items, custom picked just for you.