SIKU YA KUTEMBELEA MIRADI YETU YA VIWANJA NI KESHO.
Habari wapendwa,kesho ndio siku rasmi ya kutembelea miradi yetu ya viwanja na mashamba.
-Tuna viwanja Goba,Kibamba,Bunju, Kibaha,Bagamoyo na Kigamboni.
-Viwanja vimepimwa kuanzia square meter 400(20m kwa 20m) na kuendelea.
-Viwanja vina beacons, barabara za mtaa zimechongwa na hati unapewa ndani ya mwezi mmoja baada ya kumaliza malipo.
-Vipo viwanja kuanzia vya milion 3.2 na kuendelea.
Ofisi zetu zipo Mabibo Mwisho karibu na Stendi ya Daladala.
Piga simu kama utakuwepo kesho.
KARIBUNI SANA ?
Learn about new items, custom picked just for you.