Kwa bei ya jumla kila sabuni utaiziwa 2500 Na utauza kwa 3500 (bei ya leja leja) faida ni 1000/= kwa mfanya biashara tunakusafilishia ndani ya tanzania iwapo utanunua kuanzia cartoon ya sabuni 100
Sabuni Ya Mchele kutoka The Golden Group of Companies
Ni sabuni imetengenezwa kiasili * Haina Chemical yoyote Na imetengenezwa kwa mawese Na Mchele kutoka kigoma
Huondoa Chunusi vipele na kukupa ngozi laini Na Nyololo
Learn about new items, custom picked just for you.