Plots ekari mbili zipo kibamba,mtaa wa hondogo.maji yapo na umeme.linafaa Kwa ajili ya shule,hospital , hostel, apartment,au biashara yeyote.kina hati.bei mil 50 Kwa ekari moja.umeme na majina vipo.kama km 1.2 kutoka morogoro road.punguzo la bei lipo.
Learn about new items, custom picked just for you.