#PLOT ZINAUZWA KIBAHA KWA MATHIAC
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃
Viwanja viko: KIBAHA KWA MATHIAC
--- Viwanja viko Viziwaziwa km 3 toka Morogoro road na ni karibu na barabara ya chuo kikuu huria.
--- Viwanja viko katoka ukubwa tofauti tofauti kuanzia mita za mraba 823 - 2,055.
--- Viwanja vimepimwa tayari.
--- Viwanja vinafaa kwa ujenzi wa makazi, Nyumba za kupanga n.k.
--- Huduma za kijamii zinapatikana karibu na viwanja.
--- Eneo lililozunguka viwanja tayari limeendelezwa.
--- Viwanja viko tambarale,hakuna milima wala mabonde.
--- Bei: Tsh. 6,500 kwa mita moja ya mraba.
--- Utatanguliza 50% ya ya bei ya kiwanja, inayobaki utalipa taratibu kwa miezi sita.
--- Hati miliki utaipata baada ya kukamilisha malipo ya kiwanja.
--- Kwenda site kuona viwanja ni siku yoyote
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃
Learn about new items, custom picked just for you.