15. Dec '20, 20:47
Ad ID 2358446
TSh 18,900,000

Plot Inauzwa Kibada Mbizimbini

Kigamboni, Kigamboni Dar Es Salaam
Details
Price negotiable
No
Price per square unit
No
Square units
500.0
Description

Eneo hili liko hatua mia moja kutoka rami ya kisiwani kuelekea kibada, lina ukubwa wa kutosha na linafaa kujenga makazi au nyumba za wanpangaji. Tayari limezungukwa na majumba mazuri. Ujirani mwema na usafiri wa umma uko hapo pa hapo. Supermarkets, soko, shule za primary na na scondary vyote viko karibu. Barabara ya gari mpak mlangoni.

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Asumani (Royal Vital Life Line)
Asumani (Royal Vital Life Line)
Member Since 6. Jun '17
Verified via:
Email Facebook Mobile Number
Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.