#WEKEZA TANGA??, #Shamba, Nyumba na vifaa vyake vinauzwa
;
#Ekari 650, ekari 60 zina mkonge na ekari 160 zimeshasafishwa mteja nikutia trekta na kupanda, maji kuna kisima cha sola; nyumba za wafanya kazi tatu, zipo trekta mbili na majembe ya kulimia mawili, haro mbili, Maahine ya kukamulia mkonge moja
;
#Lipo Wilaya ya KILINDI mkoa wa Tanga kutoka Handeni mjini unaingia ndani km 45,
;
#Bei ni milioni 800 (800,000,000/=)
;
#Service charge kupelekwa site ni 85,000/= (85k)
▪▪▪▪▪▪▪▪▪▪▪▪▪▪▪▪ ▪▪▪▪▪▪
Learn about new items, custom picked just for you.