Plot hii ipo kinondoni ni plot ya 3 baada ya chuo kikuu huria B.afra pazuri pakuishi au biashara kama hotel au Apartment za kupangisha alikodi mtu akaweka garege bubu wenyewe wameamua kuuza wanashida ya pesa haraka.
Ya mirathi na wote wamekubaliana kuuza.
Kuna nyumba ya kuvunja ya kizamani na uwanja mkubwa.
Eneo lina title did coppy ipo ndani fungua picha
Sqm 600.
Bei kutoka ml 400 mwanzo sasaivi wanataka ml 220
Learn about new items, custom picked just for you.