KIWANJA CHA MAKAZI NA BIASHARA KINAUZWA MASAKI-DAR ES SALAAM
Kipo Masaki Manispaa ya Kinondoni Dar es salaam (Jirani na kwa Bakhresa)
Kina ukubwa wa SQM-3800.na kina Hati (Title Deed).
Kiwanja kimezungushiwa Uzio (Fence) na kinafaa kwa Makazi na Biashara, kama vile, Apartment, Hotel, Mall n.k
Kiwanaja kinauzwa kwa USD -1milion na Mazungumzo yapo kwa mteja aliye serious
Learn about new items, custom picked just for you.