21. Dec '20, 20:18
Ad ID: 2369044
TSh 400,000,000

Plot for sale

Dodoma Mjini Dodoma DODOMA
Details
Price negotiable
Yes
Reference
Plot
Real Estate Type
Commercial Land
Price per square unit
No
Square units
14,000.0 m²
Description

KUHUSU VIWANJA DODOMA

  1. Viwanja vya taasisi viwili vyenye heka 6 (heka 3 KILA kimoja) vipo kisasa nyumba 300 kwenye kona vinataka milion 800 vyote KWA pamoja au 400 KILA kimoja. Umeme na maji vipo. Vimepimwa na vina hati

  2. Udom barabarani kabisaa Kuna kiwanja kina sq 8200 kimepimwa kabisaa. Kinafaa KWA Sheli au hotel hiki kinataka shilingi milion 400 Negotiable

4.kiwanja Kiko Kisasa pembeni ya Appartments za mhe. Shabiby kina sq 7400. Kuna Umeme a maji na upande mmoja kuna Fensi tayar. Hiki milion 200 unachukuwa kabisa.

  1. Maeneo ya mizani tuna kiwanja Cha Sheli kina heka 2 kina vibali vyote kabisaa linataka milion 350. Kingine Sheli chenye vibali vya Sheli kipo bara bara ya Arusha maeneo ya Msalato kina hekari 3 na chenyewe kinataka milion 400.

Kazi kwako

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Bilget Kimbiza
Bilget Kimbiza
Member Since 17. Apr '18
Verified via:
Facebook Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.