12. Jun, 10:53
Ad ID 2955679
TSh 14,000

PATA VIWANJA KWA MKOPO

Kigamboni, Kigamboni Dar Es Salaam
Details
Price negotiable
Yes
Price per square unit
Yes
Square units
1.0
Description

KIGAMBONI: VIWANJA vilivyopo DEGE karibu na magorofa ya NSSF SqM 1= 12000. Na CHEKA ni jirani kabisa na barabara kuu SQM=10000, pia tuna viwanja MJI MWEMA UNGINDONI , KIBADA BLOCK 5 na MAWENINyumba Inauzwa ipo Kimara suka ni kama kilomita mbili tu kutoka barabara kuu ya MOROGORO ROAD nyumba ina vyumba vitatu vya kulala ikiwemo master bedroom moja ina jiko Dina na seeting room kubwa ina uwanja wa kutosha kupaki magari yako bei ni milioni 50 maongezi yapo nyumba ina umeme na maji yapo kwa maelezo zaidi tupigie simu KWA MWINGIRA SQM 1=35000 . Viwanja vyote viko jirani na barabara kuu ya Ferry na sio mbali na baharini .VIKINDU: VIWANJA vipo Vikindu maduka Mawili ni kilomita moja kutoka Vikindu stendi au barabara kuu ya lami ya Kariakoo SQm 1=14000.NB:Viwanja vyote vinepimwa (vimerasimishwa na serikali).

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Broker Estates
Member Since 11. Oct '19
Verified via:
Mobile Number
Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.