23. Sep, 16:19
Ad ID 3401877

Ongeza kipato kupitia gari yako

Arusha Mjini Arusha
Description

Habari za muda huu wadau. Je wewe ni mmiliki wa haice(daladala) au bajaji, gari ndogo. Au dereva. Basi fursa hii inakuhusu. Ongeza kipato chako kupitia haice yako au bajaji yako. Njoo kwenye mfumo ambao utakulipa pasipo kutumia gharama, utapata zaidi ya asilimia 5% ya faida huku unaendelea kufanya kazi zako za kukuingizia pesa. Utalipwa kupitia tangazo litakalowekwa kwenye gari yako(itakuwa pesa ya ziada)??

Karibu changamkia fursa hii mapema. Bonyeza link hiyo hapo chini?? kwa maelezo zaidi. NA HII FURSA NI KWA WATU WA ARUSHA TU. UKIONA MJULISHE NA MWENZAKO??????

https://cutt.ly/6El4RKp

Geofrey
Member Since 5. Mar '20
Verified via:
Mobile Number
Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.