20. Jan, 13:51
Ad ID: 2433778
TSh 160,000,000

NYUMBA ZINAUZWA PAMOJA TABATA.

Ilala, Tabata Dar Es Salaam Tabata.
Details
Price negotiable
No
No of bedrooms
3
No of bathrooms
2
Real Estate Type
Bungalow
Description

NYUMBA BOMBA IPO SOKONI.

NAUZA NYUMBA ZIKO TABATA SEGEREA.

ZIKO APARTMENT 5.

kila apartment inavyumba 3.

inajitegemea umeme, maji, luku ya kwake katika kila aptment.

ziko ndani ya fence moja.

Ukubwa wa kiwanja ni sqmt 1580

Zote zina hati

Na kila apartment anachukua kodi laki 5 kwa mwezi

sasa hv amestopisha kuchukua kodi kwa wapangaji sababu ya kuuza kwa hiyo wanakaa bure

BEI MIL 160Milioni tu.

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
dalalitz@yahoo.com
Member Since 12. Aug '12
Verified via:
Email Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.