ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Gharama ya uonyeshwaji ni Tshs.50,000
Ukubwa wa Kiwanj ni SQM. 650
Hati Miliki (TITLE DEED) ipo.
Vyumba vinne (4) vya kulala.
Vitatu (3) kati ya hivyo vina Vyoo ndani.
Pia kuna Sebule, Dining room na Jiko Safi lenye Makabati.
Mtaa tulivu.
Ni Nyumba ya kuhamia.
Learn about new items, custom picked just for you.