16. Mar, 05:51
Ad ID: 2590959
TSh 230,000,000

NYUMBA YA GHOROFA MOJA INAUZWA-KIGAMBONI

Kigamboni, Kigamboni Dar Es Salaam
Details
Price negotiable
Yes
No of bedrooms
4
No of bathrooms
5
Amenities
  • On Paved Road
Description

NYUMBA YA GHOROFA MOJA INAUZWA

MAHALI: Geza Ulole-Kigamboni

  1. Ina vyumba vinne vyote masters.

  2. Juu kuna master bedroom kubwa yenye balconies mbili mbele na nyuma, kichumba kidogo ambacho unaweza ukafanya kama mini-office or chumba cha mtoto mdogo au mchanga.

  3. Chini kuna vyumba vitatu masters, sebule, dinning, jiko n.k

  4. Nje kuna choo cha kawaida, kisima, tanki la maji, kijisehemu cha kupumzikia, mazingira ya bustani nzuri, sehemu ya swimming pool, parking space n.k

  5. Ukubwa wa Kiwanja: 836 sqm

  6. Umiliki: Hati

  7. Umbali: Haizidi 1km toka barabarani

Gharama za Kupelekwa Site ni Tshs Elfu 20

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Estate Professional Brokers
Estate Professional Brokers
Member Since 18. Jun '18
Verified via:
Email Facebook Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.