ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Gharama ya uonyeshwaji ni Tshs.50,000.
_____________________________________Nyumba ina vyumba 3 vya kulala(1 Masta) Sebule, Jiko, Store na Choo cha Familia ndani.
Nyumba ipo umbali wa km 1 tu toka Barabara ya Lami ya Kinyelezi.
Pamepimwa bado Hati
Learn about new items, custom picked just for you.