Nyumba nzuri ya kisasa ina vyumba vitatu na kimoja ni self contain.
Ina milango minne ya maduka katika upande mmoja wa fance.
Ina eneo kubwa unaloweza kupaki magari hata 6 au kujenga nyumba
nyingine
Ina maji, umeme na kisima cha kisasa chenyemaji safi/ baridi ya
kunywa (maji ya kisima yanakubalika na idara ya maji)
Ina hati ya muda mrefu na imelipiwa kodi ya ardhi na T.R.A.
Barabara si safi mpaka getini na ni kama mita 200 kutoka barabara ya
lami iendayo nyasaka au pasiasi.
Haidaiwi chochote na inauzwa na mwenyenyumba hivyo hakuna watu
wa kati/ wapambe.
Kwa maelezo zaidi au kuthibitisha document wasiliana kwa message
au mpigie kijana wangu kwa namba hii hapa.
ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.