19. Apr, 13:29
Ad ID 2690903
TSh 140,000,000

NYUMBA NZURI, VYUMBA VINNE(4) YENYE HATI MILIKI,TSHS.140MILIONI TU-KIBAMBA.

Kinondoni, Kibamba Dar Es Salaam Kibamba
Details
Price negotiable
Yes
No of bedrooms
4
No of bathrooms
3
Description

Kibamba ni umbali wa Kilomita 25 tu kutoka Katikati ya Mjini Dar.

Hii ni Nyumba ya kisasa yenye nafasi na ipo wastani wa mita MIA TANO kutoka Barabara ya Morogoro.

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Gharama ya uonyeshwaji ni Tshs.50,000.

Vyumba Viwili vina vyoo ndani.
Pia kuna Sebule mbili,Jiko, Dining na Choo cha Familia ndani.

Pembeni kuna jengo dogo liliokuwa linatumika kuokea mikate.

Kiwanja kina ukubwa wa SQM.1200.

HATI Miliki (Title Deed ) ipo.

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
dalalitz@yahoo.com
Member Since 12. Aug '12
Verified via:
Email Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.