Nyumba inauzwa KISASA DODOMA
SIFA ZA NYUMBA
Vyumba 4-2 self contained
Public toilet & bathroom
Dining room & kitchen
Vyumba ni vikubwa mno
Nyumba ni mpya
Bado tiles n aluminum
MAHALI ILIPO
Uwanja 660sqm
Parking space ya kutosha
7km kutoka city centre
Ipo karibu na lami (500m)
Imezungukwa na nyumba za kisasa
BEI
85 million-Negotiable
Gharama za kupelekwa site kwa usafiri wetu ni 15000Tsh tu
Learn about new items, custom picked just for you.