Nyumba inavyumba vi3 vya kulala kimoja master bedroom ina seeting room dinning room kitchen store public toilet umeme upo maji yapo pia kuna banda lenye vyumba vi2 vya kulala, nyumba ina eneo kubwa sana Sqm elfu 2500 na eneo lote tayari limeshapimwa eneo lilibakia unaweza kujenga nyumba nyingne tatu (3). Kwa maelezo na picha njoo WhatsApp, gharama za kupelekwa saiti kuona ni elfu 15 umbali kutoka barabara kubwa ya lami ni Kilometer 1
Learn about new items, custom picked just for you.