Nyumba ipo Mbagala chamanzi magengeni inavyumba vi3 kimoja master bedroom ina seeting room dinning room kitchen store public toilet, nyumba eneo lake ni Sqm 300 documents Hati ya serikali za mitaa upimaji shirikishi umeshafanyika tayari bado hati miliki tu, bei millioni 57 maogezi kidogo yapo garama za kwenda saiti kuona ni za mteja mwenyewe, njoo ukague tufanye biashara
Learn about new items, custom picked just for you.