ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Gharama ya uonyeshwaji ni Tshs.50,000.
NYUMBA YA KISASA.
INA VYUMBA VITATU 3 VYA KULALA
(KIMOJA MASTA)
PIA INA DINING, SEBULE,JIKO STORE NA CHUMBA MAALUM CHA IBAADA.
PIA INA FREMU TANO (5) ZA MADUKA ZA KUMALIZIA.
UKUBWA WA KIWANJA SQM.1000
IKO MJINI HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZINAPATIKANA
Learn about new items, custom picked just for you.