NYUMBA INAUZWA
MAHALI- #NKUHUNGU WEST-SABATO(kwa wasiopafahamu ni singida road umbali wa 7Km toka town)
UMBALI
#7km toka town
#700m toka kwenye barabara ya lami
#Dakika 7 kwa gari toka town/daldala unashuka kituo kinaitwa sabato then unatembea kwa mguu dakika 5 kufika kwenye nyumba
SIFA ZA NYUMBA
#vyumba 04 vya kulala,kimoja master
#sebule
#Jiko
#Dining
#Public toilet
#stoo
HUDUMA
#maji yapo ni ya kuingiza ndani
#umeme utavuta wewe
#parking space ipo
#iko ndani ya fensi
UKUBWA WA KIWANJA-600sqm(Zaidi ya hatua 30 kwa 20)
DOCUMENT-Full
VYA KUMALIZIA
-kufunga vifaa vya maji
-kuweka umeme
-kuweka milango
-kuchima mashimo ya maji taka
BEI-MIlioni 55(maongezi kidogo yapo)
GHARAMA ZA KWENDA SITE-10,000/=
Learn about new items, custom picked just for you.