Iko mapilinga senta inavyumba vya kulala vinne pamoja na public toilet na dinning room kiwanja chake ni 145*40 kiwanja nikikubwa sana zaidi ya hekari moja na robo kiwanja kinaenda Hadi lami nyumba Ina maji wayaring ya umeme tiari nyumba nzima umeme ni kuvuta tuuu
Learn about new items, custom picked just for you.