MAELEZO
MAHALI: kigamboni mikwambe
Ina vyumba 3 vya kulala, sitting room, dining room, kitchen, stoo, toilet, sehemu ya parking, umeme upo, maji yapo, full tiles n.k
Ukubwa wa kiwanja: 400 sqm
Umiliki: Sales Agreement
Learn about new items, custom picked just for you.