Nyumba nzuri inauzwa iko mbezi Beach sehemu safi ina vyumba v4 master 1 public toilet, jiko kubwa na store parking. Size ya plot Sqm 900,Garden ipo, Ina hati Bei nafuu sana milioni180 adi 165 tu, Wahi usikose, Kwa mahitaji ya kupata nyumba za kununua za bei nafuu na viwanja vyenye hati kwa bei nafuu tupigie simu tunazo za kutosha pamoja na viwanja vya uhakika kwa maelezo zaidi tupigie simu.
Learn about new items, custom picked just for you.