MAELEZO
MAHALI: Mbagala Zakhiem (Karibu na Tanesco)
Ukubwa wa kiwanja: 1500sqm
Nyumba ilijengwa kwa dhumuni la kupangisha hivyo kuna nyumba kubwa na nyumba ya uwani; Nyumba kubwa ina vyumba 9 (1 master) na Uwani ina vyumba 8
Wapangaji wa nyumba kubwa wanalipa elfu 40 na wa Uwani elfu 30
Document ya Umiliki: Offer (Leseni ya Makazi)
Nyumba iko barabara ya mtaa
Umbali toka Kilwa Road: 1.5km
Inafaa kwa Makazi au Biashara
Nb: Sehemu Kubwa ya Zakhiem ni Industrial Zone
Learn about new items, custom picked just for you.