• Direction: Kinondoni B
• Hali ya Nyumba: Nzuri
• Hadhi ya Kiwanja: Kimepimwa
• Ukubwa wa Kiwanja: 340 sqm
• Nyaraka: Leseni ya makazi
• Kupelekwa kuona: TZS 20,000
.
Ni nyumba ya kisasa ya kuhamia yenye pande mbili zinazo jitegemea. Kila upande una:
vyumba 2 vya kawaida na 1 master • washroom ya wote • sebule • jiko • varanda • uzio • malumalu na gypsum • madirisha vioo • maegesho ya gari
.
• Visit our listing to find more and different properties.
• If you can't get enough of our properties, send a request of your choice through our contacts
Learn about new items, custom picked just for you.