MAHALI: Kibada - Kigamboni.
Ukubwa wa kiwanja: 540 sqm
Nyumba ilivyo: Ina vyumba 5, vyoo 5, balconies 5, sitting room 3, jiko 1 na dining 1.
Umbali: 2.5 km kutoka barabarani. 10 km kutoka daraja la Kigamboni. 19 km kutoka Posta.
Umiliki: Hati
Gharama za Kupelekwa Site Tshs Elfu 20
Learn about new items, custom picked just for you.