5. Dec '21, 23:22
Ad ID 3715163
TSh 45,000,000

Nyumba inauzwa ipo lukobe morogoro mjini

Morogoro Mjini Morogoro Dodoma road
Details
Price negotiable
Yes
Reference
Lukobe
No of bedrooms
2
No of bathrooms
2
Amenities
  • Other
Description

NYUMBA INAUZWA IPO LUKOBE MOROGORO MJINI

NYUMBA IPO ENEO LINALOFIKKA KIURAHISI

NYUMBA IPO KWENYE KIWANJA KILICHOPIMWA NA KINA HATI.UKUBWA WA UWANJA NI SQUARE MITA 1470 SAWA NA 41 KWA 36.

NYUMBA INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA NA KIMOJA NI MASTER, SEBULE YENYE DINING NA SITTING, JIKO, STORE NA PUBLIC TOILET.PIA INA FLEMU MBILI ZA BIASHARA.

PIA NYUMBA IPO KWENYE KIWANJA CHENYE MATUMIZI YA MAKAZI NA BIASHARA.

IPO KARIBU NA HUDUMA ZA JAMII.

BEI YAKE NI MILIONI AROBAINI NA TANO(45, 000, 000)

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Francis Mwakalobo
Francis Mwakalobo
Member Since 21. Mar '20
Verified via:
Email Facebook Mobile Number
Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.