Nyumba Inavyumba vi3 vya kulala kimoja master bedroom ina seeting room dinning room kitchen store public toilet huduma zote za kijamii zipo nyumba eneo lake ni Sqm 400 pia ina Hati miliki ipo nyumba kwa nje ina eneo la bustani njoo ukague tufanye biashara garama kupelekwa saiti kuona ni elfu 20
Learn about new items, custom picked just for you.