Nyumba ni kubwa ina vyumba 6 vya kulala viwili master room sebure kubwa store, jiko, public toilet, mabanda ya nje na ina eneo kubwa parking ya gari eneo limetulia kwa familia huduma zote za kijamii zinapatikana jirani
Learn about new items, custom picked just for you.