nyumba ina vyumba vitatu vyakulala kimoja master sitting room dining room public toilet jiko maji na nyuma kuna banda la vyumba vitatu vyakulala nk.
Nyumba ina documents yamauziyano yaserekali yamtaa
Ukubwa wakiwanja nusu hekta
Umbali kutoka ctendi ya zingiziwa mita 600
Eneo kubwa limebaki unaweza kufuga au kujenga nyumba kubwa zingine
Wahi sasa mdau ujipatie nyumba kwabei poa kabisa
WOTE MNAKARIBISHWA ?
Learn about new items, custom picked just for you.